Matokeo ya mtihani na mock | Jipime
Data matters when it leads to actions
Jipime ndiyo mahali pa matokeo ya mtihani, matokeo ya shule, mock na results za mikoa Tanzania.
Jipime publishes joint mock and exam results for schools, councils and regions in Tanzania.
Matokeo kwa mkoa
Maswali
Matokeo ya mtihani yapo wapi?
Matokeo ya mtihani na matokeo ya mock yanapatikana kwenye Jipime — jipime.ac.tz.
Naweza kuona mock results za Morogoro au Arusha?
Ndiyo. Chagua mkoa: Morogoro, Arusha, Dodoma, Tabora au Iringa, kisha shule.
TASIDO matokeo?
TASIDO ni mock ya Tabora, Singida, Iringa na Dodoma. Fungua ukurasa wa TASIDO.