Jipime

Data matters when it leads to actions

Jipime Academic System

Chagua Mfumo wa Kisasa wa JIPIME!
Umesumbuka na Mifumo ya Taaluma isiyokupa unachotaka? 

Tumia Mfumo wa Jipime ushangae kwanini ulichelewa. Tunahudumia Shule za Msingi na Sekondari, Vyuo hata kwa ngazi ya Kata, Halmashauri au Mkoa.

Pata Matokeo papo kwa papo, Ripoti za Uchambuzi wa kina wa Matokeo, Ripoti za wazazi, Bajeti za Uendeshaji wa Mtihani  na mengine mengi kwa urahisi na muda mfupi.  Twende kidigitali na JIPIME.

Karibu tukuhudumie; 0764 936 387